Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu hatua mbalimbali za upokeaji na uuzaji wa madini ya dhahabu katika Soko Kuu la Dhahabu Geita. Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio amewakaribisha wawekezaji kuingia ubia na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ajili ya utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini. Read More
Tamasha linalosubiriwa kwa hamu la Samia Fashion Festival linatarajiwa kuzinduliwa, likiwaunganisha magwiji wa mavazi na utamaduni wa kiTanzania. Read More
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara, Kilimo na Mifungo imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Read More