Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari. Read More
Mkoa wa Pwani umepokea kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kufanyika Aprili 2, 2025 katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Read More
Jeshi la Korea Kusini Alhamisi lilidai kuwa Korea Kaskazini imetuma zaidi ya wanajeshi 1,000 wa ziada nchini Urusi mwaka huu katika kuendelea kuunga mkono vita vya Moscow dhidi ya Ukraine. Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge)-Pangani -Tanga (km 256) sehemu ya Mkange-Pangani-Tanga Read More
Kundi la Hamas limekabidhi miili ya mateka wanne waliouawa na Israel katika shambulio la bomu huko Gaza kwa shirika la Msalaba Mwekundu, kwa mujibu wa TRT World. Read More
Kutoka Dar es salaam February 20, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. Source Millard Ayo.
Serikali za Tanzania na Misri kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kuimarisha sekta ya usafirishaji, nishati, ujenzi wa miundombinu, uchukuzi, biashara na uwekezaji, kilimo, mifugo na uvuvi. Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates, Dkt. Anita Zaidi Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Februari, 2025. Read More