Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuwa chama cha wanachama, kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote na kuwa mtetezi wa wanyonge. Read More
Maelfu ya wananchi walijitokeza barabarani, kutoka Ikulu ya Zanzibar hadi Kisiwandui – makao makuu ya Chama cha Afro-Shirazi (ASP) – kushuhudia safari ya mwisho ya Sheikh Abeid Amani Karume. Read More
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari. Read More
Mkoa wa Pwani umepokea kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kufanyika Aprili 2, 2025 katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Read More