Tanzania imeweka rekodi ya Mkutano wa Pili wa Wahasibu Wakuu wa Serikali Barani Afrika kwa kuwa na washiriki zaidi ya 2000 kutoka ndani na nje ya Bara la Afrika. Read More
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza vikao vya bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) leo Jijini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu. Read More
Raia wa Namibia watapiga kura 27 Novemba 2024 katika uchaguzi unaotarajiwa kuwa wenye ushindani mkali zaidi kwa chama tawala cha SWAPO, ambacho kimekuwa madarakani kwa miaka 34. Iwapo mgombea wa SWAPO Netumbo Nandi-Ndaitwah atashinda, atakuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo. Kupoteza kwa SWAPO kutamaanisha mpito wa kwanza wa mamlaka kwa chama kipya tangu Namibia... Read More
Wakuu wa Nchi nane za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, wanatarajia kukutana mkoani Arusha Novemba 29 kwa ajili ya kushiriki Vikao vya kawaida pamoja na kuongoza maandalizi ya Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Read More
Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa. Read More
Rais Samia Suluhu Hassan alialikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 ukiwa na kauli mbiu inayosema ‘Kujenga ulimwengu wa haki na sayari endelevu’. Read More
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva Ikulu, Jijini Dar es Salaam Read More