Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva Ikulu, Jijini Dar es Salaam Read More
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Antoine Tshisekedi, aliwasili Entebbe, Uganda, Jumatano kwa ziara ya kikazi ya saa chache na mwenzake, Rais Yoweri Museveni. Read More
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) a Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wameendesha mafunzo kwa wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa TEHAMA wa taasisi hiyo. Read More
Wananchi wapatao 56,000 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro wanatarajiwa kufikiwa na Elimu ya Mpiga Kura kupitia juhudi za asasi za Haki Mwananchi na Mtanzania Foundation Read More
Geita kumpokea rasmi mkandarasi, kampuni kutoka China, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba (7) ya mkoa humo. Read More
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeazimia kurudisha minada ya ndani ya madini ya vito itakayofanyika katika maeneo ya uzalishaji hususan Mirerani, Mahenge, Tunduru, Dar es salaam, Arusha na Tanga na kimataifa itafanyika mji wa Bangkok na Jaipur nchini Thailand. Hayo yamesemwa leo Oktoba 16, 2024 na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde wakati akijibu hoja... Read More