Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) a Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wameendesha mafunzo kwa wajumbe wa Kamati ya Uongozi wa TEHAMA wa taasisi hiyo. Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Nchemba (Mb), amerejea wito wa Tanzania kwa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kukifanya Kiswahili kuwa miongozi mwa lugha rasmi za mawasiliano katika mikutano ya Taasisi hizo. Read More
Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) nchini Tanzania umewezeshwa kwa kiasi kikubwa na uwekezaji katika miundombinu muhimu. Read More