Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa hoteli ya GranMelia jijini Arusha, Desemba 3, 2024. Read More
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amesisitiza umuhimu wa kuwa na mikakati endelevu katika kukuza Sekta ya Utalii na Ukarimu. Read More
Rais Samia Suluhu Hassan alialikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 ukiwa na kauli mbiu inayosema ‘Kujenga ulimwengu wa haki na sayari endelevu’. Read More
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake ya Makumbusho ya Taifa, Chuo Cha Taifa Cha Utalii na Bodi ya Utalii kwa kazi nzuri ya maboresho makubwa yanayofanyika. Read More
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ziadi ya shilingi Milioni 500 kwa ajili ya kufanikisha Tamasha la 43 la Kimataifa la Utamaduni na Sanaa tarehe 23 Oktoba 2024, Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Read More