Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linaendesha program ya kuongeza ujuzi katika baadhi ya nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, Rwanda, Uganda, Kenya, Eritri na Malawi. Read More
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali. Read More
Wachimbaji wadogo wilayani Nyang’wale wameishukuru Serikali kwa kutengeneza mazingira mazuri kwa wawekezaji ambao wanatoa msaada wa kiufundi kwao. Read More
Wanawake na Wasichana wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wamezindua rasmi Maadhimisho ya Wiki ya Wanawake Duniani 2025. Read More
Mkoa wa Pwani umepokea kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kufanyika Aprili 2, 2025 katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge)-Pangani -Tanga (km 256) sehemu ya Mkange-Pangani-Tanga Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Saudi Arabia kuhusu Nishati Safi ya Kupikia. Read More
Serikali za Tanzania na Misri kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kuimarisha sekta ya usafirishaji, nishati, ujenzi wa miundombinu, uchukuzi, biashara na uwekezaji, kilimo, mifugo na uvuvi. Read More