Msanii maarufu wa sanaa ya uchekeshaji nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu kama MC Pilipili, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukumbwa na maswali mazito kuhusu hali ya ndoa yake. Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wakilishi Mhe. Hamza Hassan Juma amesema Serikali imeandaa utaratibu wa kuwaombea Waasisi na voingozi wa Serikali walioitumikia nchi kwa upendo mkubwa na maslahi mapana ya wazanzibar ili kukumbuka mchango walioutoa katika uhai wao. Read More
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbogwe, Pius Lukaga, amewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya rushwa wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi. Read More
Mama huyo anasema alifanya kazi ya kusambaza chakula kwa mafundi waliokuwa wakijenga zahanati ya kijiji lakini hajalipwa malipo yake hadi sasa. Read More
Mkoa wa Pwani umepokea kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kufanyika Aprili 2, 2025 katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Read More