Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezishauri taasisi za elimu ya juu zilizo nchini kuanzisha kozi muhimu zenye uhitaji na uhaba wa wataalamu, ambazo zitachangia ya nchi. Read More
Hatifungani ya Kijani ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga UWASA) yaorodheshwa katika Soko la Hisa la nchini Luxembourg. Read More
Tanzania,kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh 678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Read More
Na Neema Mtuka Serikali, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imeanza usambazaji wa umeme katika vitongoji 75 vya Mkoa wa Rukwa, baada ya kukamilisha kusambaza nishati hiyo kwenye vijiji 320 kati ya 339 vilivyopo mkoani humo. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 15.7 unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24 na unalenga kunufaisha zaidi ya... Read More
IKIWA ni Sehemu ya Ushiriki wa TIC katika tukio la kimkakati la LandRover Festival 2024 na adhimisho la Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa awamu ya kwanza na Mwasisi wa Taifa, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Kimeshiriki katika Zoezi la Upandaji miti katika eneo la viwanja vya Magereza Kisongo... Read More