Lissu alikuwa akihamasisha wananchi kuhusu haki yao ya kupiga kura na umuhimu wa ushiriki katika demokrasia. Wafuasi wake wanadai kuwa tuhuma za uhaini ni njama ya kuzima sauti ya upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Read More
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbogwe, Pius Lukaga, amewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya rushwa wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kukemea vitendo vya ukatili ulioshamiri dhidi ya wanawake na watoto . Read More
Wanajeshi waliobadili jinsia watatenganishwa na jeshi la Marekani, kulingana na memo ya Pentagon iliyowasilishwa mahakamani siku ya Jumatano. Read More
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete azungumza na watumishi na wadau wa Mahakama ya Tanzania wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo Jijini Dodoma. Read More