Binti Theresia anaelezea hisia zake kwa upole na heshima, akisema tukio hilo lilikuwa kama ndoto iliyotimia — "siku ya baraka ya kipekee ambayo haitasahaulika." Read More
Pasaka ni kipindi cha msamaha, upendo na kusameheana. Ni fursa ya kila mmoja wetu kutafakari maisha yake na kufanya maamuzi ya kuishi kwa kuzingatia haki, maadili na mshikamano wa kweli Read More
Hali ilikuwa tulivu wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipowasili eneo hilo pamoja na Waziri wa Ulinzi Dkt. Stegomena Tax na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega. Hata hivyo, dakika chache baada ya viongozi hao kuondoka, mvua kubwa ilinyesha na kuharibu kabisa njia. Read More
Mradi wa Daraja la Magufuli – linalojengwa katika Kanda ya Ziwa – ni mfano hai wa miradi inayotekelezwa kwa mafanikio makubwa chini ya uongozi wa Rais Samia. Read More
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuwa chama cha wanachama, kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote na kuwa mtetezi wa wanyonge. Read More
Maelfu ya wananchi walijitokeza barabarani, kutoka Ikulu ya Zanzibar hadi Kisiwandui – makao makuu ya Chama cha Afro-Shirazi (ASP) – kushuhudia safari ya mwisho ya Sheikh Abeid Amani Karume. Read More