Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akifungua Mradi wa Hoteli wa Bawe Island by Cocoon Collection, Bawe-Zanzibar, leo tarehe 7 Januari, 2025.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 27, 2024 first appeared on Millard Ayo.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka TANROADSkuongeza kasi ya ujenzi wa daraja la Simiyu, wilayani Magu kwenye barabara kuu ya Mwanza-Musoma ili likamilike kwa wakati. Read More
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. DENNIS L. LONDO (Mb.) amewataka watumishi wanaotoa huduma mipakani kufanya kazi kwa bidi, weledi na uadilifu. Mhe. Londo ametoa rai hiyo alipokuwa akiongea na watumishi wanaotoa huduma katika Kituo cha Utoaji Huduma kwa Pamoja cha Holili/Taveta, Wilayani... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Mb), akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la Sukuma lenye urefu wa Mita 100 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 2.3 leo tarehe 20 Desemba 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya (Mb) na viongozi wengine wa Chama na Serikali wakishuhudia zoezi hilo. Naibu... Read More
Rais Samia amemtangaza Profesa Janabi kama muwakilishi aliyechaguliwa kuiwakilisha Tanzania katika kunyang'anyiro cha kuwa Mkurugenzi WHO Afrika. Read More