Tathmini ya athari za Mradi wa Kupunguza Vifo vya Wajawazito unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeonesha mafanikio makubwa katika uboreshaji wa huduma za afya ya uzazi Tanzania Bara na Zanzibar. Read More
Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Mhe. Captain Ibrahim Traoré. Read More
Tanzania wiki hii iliandaa mkutano uliolenga kuunganisha nchi za Afrika Mashariki katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa hemophilia na seli mundu Read More
Wanawake wa Kata ya Nyarugusu wamepumua kwa afueni baada ya Kituo chao cha Afya kupatiwa mashine ya kisasa ya ultrasound, hatua iliyowarahisishia huduma za afya ya uzazi ambazo hapo awali walilazimika kuzifuata mbali mjini Geita. Read More