TCA na Jamii Impact wamezindua Mental Health Gym Club- programu ya bure kwa vijana kujifunza afya ya akili, kujenga uthabiti na kupata msaada wa kisaikolojia. Read More
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia Bi. Victoria Swebe, Bryson Kamembe, Asajile Mwasalemba na Elia Mwalumbu wote wakazi wa Wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Read More
Steven Waiton Mengele, maarufu kama Steve Nyerere, ni miongoni mwa wadau muhimu wa maendeleo nchini kupitia mchango wake mkubwa katika sanaa za maigizo na uchekeshaji kwa miaka mingi. Read More
Msanii wa vichekesho Emmanuel Mathias, maarufu kama Mc Pilipili, aliyefariki dunia jana Novemba 16, 2025 , anatarajiwa kuagwa na kuzikwa Alhamisi, Novemba 20, 2025, nyumbani kwao Swaswa, mkoani Dodoma. Read More
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe katika uzinduzi wa mpango wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao unalenga kuziwezesha taasisi hizo za elimu kutumia nishati safi ya kupikia, uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi Belem nchini Brazil. Read More
Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma kwenye mkutano huo jijini Kinshasa Novemba 15, 2025. Read More